2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#AIR CONDITION
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 500,000/= X 6
π«π« NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 4 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0625606710