2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment nzuri na mpya inapangishwa bei 400,00 x6
Mahari ilipo kimara mwisho umbali kutoka morogoro km 1/5 usafiri upo bajaj bodaboda
_______
Sifa zake
_______
Vyumba 2 vyakulala na kimojawapo ni master
________
sebure kubwa
jiko zuri lakisasa
pabric toilet
parking kubwa
_________
Umeme ,maji dawasa Luku yakwake
______
Kodi kwa mwezi malipo kwa mwezi ni laki 4x6
________
Kupelekwa kuona nyumba garama yake 15,000 na itadumu mpaka upate nyumba
______
Barabara rafiki kwa aina zote za magari
______
PIGA SIMU
0719969102