2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE #250k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko, public toilet nje
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence parking kubwa
Umbali km 1 tu boda 1000 Bajaji 500 unaweza Kutembea pia
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087