2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kilomita 2.5 kutoka Main Road, Usafiri BAJAJ 700 Ukishuka Kwenye Bajaj Unaingia Ndani
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Vyumba VIWILI na Kimoja Wapo ni Master Bedroom
• Jiko Zuri Kubwa
• Public Toilet
Apartment Zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na Kila Apartment inajitegemea LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- MALIPO MIEZI 4
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo.
#𝘿𝙖𝙡𝙖𝙡𝙞_𝙐𝙗𝙪𝙣𝙜𝙤
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApps