2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI SANA MPYAAAA KABISA
================
ZINAPANGISHWA: LOCATION KIMARA KOROGWE
===============
ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI APA
===============
YA KWANZA
===========
INA VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR KWA FAMILIA YAKO
KODK NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
================
YA PILI
======
CHUMBA MASTER KUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
==============
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
==============
IZI APARTMENT ZINAFIKIKA KWA GARI YA AINA YOYOTE
================
UMBALI NI KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 50P UKISHUKA DK MOJA UPO NYUMBAN
=============
SERVICHAJ ELFU 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
==============
Simu 0757 404087