2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT YA #KIFAMILIA INAPANGISHWA #GOBA_NJIA_4 DK 1 TOKEA #LAMI NA NJIA NZURI SANA
__
Vyumba 2 vya kulala, kimoja master
Sebule
Jiko la nguvu sana
Parking
Hapa full Ac
Heater
Mazingira matamu sana
Maji na Umeme mita yako
Choo cha familia
Hapa zipo nyumba 2 tu, ila hii ndio ipo wazi
__
Kodi 750,000/= × 7
Dalali mwezi 1
Kuona site 20 elf
__
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343
__
PIGA SIMU CHAP CHAP