2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000X6)KIMARA TEMBONI 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
VYUMBA VIWILI VIKUBWA SANA VYA KULALA 
#SEBULE KUBWA
❌ HAKUNA MASTER BEDROOM 
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6 
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















