2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI MAFUNDI WAPO KAZINI KURUDIA RANGI NJE NA NDANI JIKONI KUNAWEKWA MAKABATI
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#JIKO KUBWA OPERN KITCHEN KUNAWEKWA MAKABATI
#CHOO CHA NDANI 🚻
#TIRES, GYPSUM Na MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
#MAZINGIRA MAZURI
#PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
LOCATION: KIMARA KOROGWE
DISTANCE: DAKIKA 5 TU KUTOKA MWENDOKASI 🚶🚶
KODI 250,000 × 6
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp