2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT Classic For Rent ✨️
Zipo 4 Kwenye Fence
BEI NI 300,000 × 6
✔️SEBULE KUBWA
✔️VYUMBA VIWILI VIKUBWA
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️PUBLIC TOILET NDANI 🚻
🌀LUKU METER INAJITEGEMEA
🌀MAJI DAWASA METER YAKO NA SIMTANK LAKO
✔️NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
NB: NYUMBA INAKUWA WAZI 27/08/2025..
KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
💰KODI 300,000 × 5/6
🛣NYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2..USAFIRI BAJAJI 800..BODABODA 1000
SERVICE CHARGE 20,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp