2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#MPYAAA ZITAKUWA TAYARI KUINGIA TAREHE 1 MWEZI WA 8
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA SUKA
#πΏππ¨π©ππ£ππ: Umbali wa Dakika 8 Kutembea kwa Mguu kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
#ππππ_πππ π
============
β’ Sebule kubwa
β’ Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
β’ Jiko Kubwa lenye Makabati
β’ Public Toilet nzuri ndani
β’ Heater ya MAJI
β’ Reserve Tank (DAWASA)
Apartment zipo 2 TU ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#ππ€ππ_π π¬π_ππ¬ππ―π π£π Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6. Service Charge 20 Kuona Nyumba
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565