2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 kwa mwezi ×6
AU
270,000 Kwa mwezi × 4
Umbali dakika 7 Tu Kwa mguu toka kituoni
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167