2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
πΉπΏ Apartment Classic Inapangishwa
Location: KIMARA MWISHO [ TRA ]
Distance; KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
Kodi Kwa Mwezi Ni 400,000 Γ 3/4/5/6
>Sebule Kubwa Sana
>Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
>Chumba Kimoja Master
>Jiko Kubwa la Kisasa
>Public Toilet Nzuri π»
>Tires,Gypsum Na Slide Windows
>Inajitegemea UMEME Na MAJI
>Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
>Reserve Tank Kubwa
>Fenced
>Full Paving Blocks π«
>Parking Space Available π
>Good Environment π
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp