2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







🚨🔥#APARTMENT # INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑Umbali kutoka standi ya mwendo kasi dakika 3 Tu Haitaji kupanda boda hii
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili, kimoja Master choo kina milango 2
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲Public Toilet ya nje
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Fensi & Parking Kubwa
👉 Hii ina kuwa wazi date 08/05/2025 malipo yanapokelewa
🔷Kodi Tsh 350, 000/= miezi 6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
0712528820
0685221354
Mr.