2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI YA KISASA INAPANGISHWA KODI TSH 250000x6
LOCATION KIMARA STOP OVER 
UMBALI KM 1.5 
USAFIRI BODA 1000
KODI 250,000X6 
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO OPEN KITCHEN NZURI 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI 
NDUGU MTEJA  NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE SAFI
YA CHINI NDIO IKO WAZI UKILIPIA INALUDIWA RANGI NDANI YOTE 
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE 15,000 
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258



















