2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA TEMBONI
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 1000
SEBULE KUBWA SANA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MAST𝗘R
JIKO KUBWA ZURI
P𝗨BLIC TOILET NZURI 🚻
INA TIRES, GYPSUM Na DI𝗥ISHA NYAVU
MPANGO WAKUWEKA ALUMINIUM UPO
IPO NDANI YA FENCE
INAJITEGEMEA UMEME MAJI SHEAR
KODI 300,000 × 6
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp