2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#APARTMENT INAPANGISHWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#VYOTE NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI NA UMEME VINAJITEGEMEA .
#LOCATION #KIMARA_KOROGWE_KILUNGULE UKISHUKA DAKIKA 2 UPO KWENYE NYUMBA
#HAINA FENSI ILA IPO MTAA WA KISHUA
#MAZINGIRA MAZURI USALAMA ASILIMIA MIA.
#KUANGALIA NA KULIPA RUHUSA ITAKAYOKUWA WAZI NI YA CHINI.
#BEI LAKI 4 KWA MWEZI MWEZI MIEZI 6
#SERVICER_CHARGER_15000
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343