2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
PIGA SIMU
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI 370,000X6
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA PUBLIC TOILET NA JIKO
NYUMBA IPO BARABARA YA ZEGE HADI UNAFIKA KWENYE NYUMBA
IPO NDANI YA FENSI GETI LAKE LIPO KWA NYUMA NA PARKING SPACE KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA YANA FLOW NDANI
MTEJA UKILIPIA NYUMBA UTASUBILI WIKI MBILI YA KUMALIZIA UJENZI YA VITU VILIVYO BAKI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA
0713661530_0783661530