2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







π₯ KODI NI Tsh. (400,000/= Γ 3) APARTMENT KALI SANA YA KISASA INAPANGISHWA
π LOCATION: KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI UPANDE WA KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE NZURI SANA
JIKO LA KISASA FULL MAKABATI
MAKABATI YA NGUO VYUMBANI
βοΈNYUMBA IPO NDANI YA FENCE
βοΈ PARKING SPACE KUBWA SANA
βοΈ UMEME LUKU INAJITEGEMEA
βοΈ METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
βοΈ MAJI YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
βοΈFENI ZA JUU
βοΈ GARDEN SAFI
KODI NI Tsh. 400,000/= Γ 3
πILIYOWAZI NI YA JUU
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
π CONTACTS
0715949085
0782838336