2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA SUKA DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA #400K
====
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na Choo cha public
===
Bei:400,000 Kwa mwezi × 6
====
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
===
Apartment ya juu ndo ipo wazi, inajitegemea umeme na maji parking na fence ya uhakika
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
=====
0716223412
0683597453