2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KONK SANA INAPANGISHWA KIMARA SUCA
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA 2 VYA KULALA K1 MASTER,SEBLE KUBWA,JIKO LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR NDAN
APARTMENT ZIKO 4 NDANI YA COMPOUND 1 UMEME NA MAJI KILA MMOJA ANA JITEGEMEA
Reserve water tank ltr 5000 kwa wote na ltr 1000 kwa kila nyumb
APARTMENT INA FULL A,C,FULL SECURITY NA KUNA WF KWA MATUMIZI YA WAPANGAJI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD KM 2.5
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670