2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







120,000 X 4 KIMARA SUKA APARTMENT INAPANGISHWA NI VYUMBA 2.VYA KULA.LALA NA. SEBULE .NA CHOO CHAKE MWENYEWE ILA KIPO NJEE. NA NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
UMBALI WA KILOMETA (2,5 )TOKA KIMARA SUKA UHAKIKA BAJAJ 700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK .2 UPO.KWENYE NYUMBA
VYUMBA 2 VYA KULALA .NA SEBULE
TILES GPYSUM SLAIDNG WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YAPO NJEE.
NDANI YA FENSI .
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258