2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Suka/ Kimara Stop Over
🕑Dakika 15 Kutembea Toka Morogoro Main Road au Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Vyumba Viwili, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fencede Car Parking kubwa
📌Iko wazi kabisaa
🔶Kodi Tsh 250,000/=×3(Miezi Mitatu)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 250,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
📌Pesa ya Taadhari Tsh 250,000/=(Unarudishiwa Ukiwa Unahama)
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊