2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


IMEBAKIA MOJA TUU!!
BEI NI 580,000/= X 6
🌟SIFA ZAKE NI
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
📌 ULINZI UPO MASAA 24,,KIJANA WA GARDEN,,MTU WA USAFI NA MAZINGIRA VYOTE HIVYO NI BURE
BEI NI 580,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI TATU TUU (300,000/= )
💫💫APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0742737310
0787205300



















