2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 250,000/=
IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEXI
UMBALI WA DK 8 MPKA 10 TU KWA MIGUU TOKA KITUO CHA MWENDOKAS
Sifa zake :-
VYUMBA VIWILI
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI
CHOO NDAN
aina master
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
PARKING IPO KUBWA
MAZINGIRA MAZURI
PERVING BLOCK SAFI
KODI NI 250,000/= KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
Service charge 15,000/=
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.