2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
---------------
NI APARTMENT YA =
Vyumba 2 vya kulala kimoja master
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni mita yako.
Full paving block
Electrical Security
Ndani ya fensi parking space ipo.
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
---------------
NB= MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO, RUKSA KUONA NYUMBA NA KULIPIA ITAKUA WAZI TAREHE 01/01/2025.