2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X6)KIMARA KOROGWE DK 3 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
___________________
🇹🇿 #APARTMENT SAFI INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE – KARIBU NA BARABARA KUU
📍 Kimara Korogwe
🕗 Hii hapa kwa wale wavivu wa kutembea mmefikiwa sasa. Umbali wa kutoka standi ya mwendo kasi dakika 3 kwa mguu, haitaji bodaboda.
🏡 SIFA ZA NYUMBA
🔸 Vyumba viwili, kimoja Master
🔸 Sebule
🔸 Jiko
🔸 Public toilet ya ndani
🔸 Umeme & maji (inajitegemea)
🔸 Maji yanapatikana masaa 24/7
🔸 Fenced car parking kubwa sana
👉 Nyumba inakuwa wazi tarehe 30/01/2026
Kuona ndani na kufanya malipo ni ruksa kabisa endapo mpangaji atakuwepo.
GHARAMA
🔹 Kodi Tsh 400,000 x miezi 6/=
🔹 Malipo ya dalali Tsh 400,000/=
🔹 Service charge Tsh 15,000/=
📞 #Piga_simu👇
0716223412
0618976024



















