2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI 250,000 Γ 6
LOCATION: KIMARA SUKA
SEBULE KUBWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
CHUMBA KIMOJA MASTER
JIKO KUBWA ZURI
PUBLIC TOILET YA NDANI π»
πINAKUWA WAZI KUANZIA 17/1/2025
ZIPO APARTMENT MBILI TU NA HII MOJA NDIO IPO WAZI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANAFLOW NDANI 24HRS
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
Usafiri 24Hours BODA BODA 1000
IPO NDANI YA FENCE
PARKING IPO FULL PAVING BLOCKS
SERVICES CHARGE 15,000 /=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp