2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA
NA KILA MMOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SABA (7)
SIFA ZAKE
########
VYUMBA VIWILI VIKUBWA
KIMOJA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM SAFI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK ZINAWEKWA
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
BRBR NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0683597453