2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 300,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37