2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6)KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 07\/05\/2025 YA JUU NDIO ITAKUWA WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 400,000 KWA MWEZI