2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/=X4
AU 250,000X6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#PARKING ZIPO 2 TU NAHIMOJA NDOIPOWAZI
BEI NI 300,000/= X 4
AU 250,000X6
๐น๐ฟ IPO KIMARA MWICHO PIA UNAWEZA UKAPITIA KIMARA STOPU OVALI
IPO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
NJIA ZOTE NI NZURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONA NYUMBA EFU 15
---------------
CONT
0766825473
0788410350