2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO #250K
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
====
Bei:250,000 Kwa mwezi ร 6
===
Umbali KM 1.2 toka kimara mwisho au Stop over Usafiri bodaboda 1000
===
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon> ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167