2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(350,000X6)KIMARA BUCHA DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/09/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
🌟🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#HAKUNA MASTER
#JIKO KUBWA LINA MAKABATI MAZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
‼️FENSI IPO IMEJENGWA NUSU ILA KUNA WALINZI WANALINDA NA USALAMA NI WA UHAKIKA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
📌📌 NDUGU MTEJA APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 25/09/2024 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO NI RUKSA KABISA NA MALIPO YANAPOKELEWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
071622342
0683597453