2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 08/05/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#JIKO KUBWA
#CHOO KINA MILANGO 2 CHUMBANI MA SEBLENI HAKUNA MASTER
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 TU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
0712656027