2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: Dakika 5 Kwa,Kutembea Tu 🚶🚶
⚡️Sebule Kubwa Sana
⚡️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
⚡️Chumba Kimoja Master
⚡️Jiko Kubwa Zuri/Open Kitchen
⚡️Public Toilet Ya Ndani
⚡️Luku Na Maji Inajitegemea
⚡️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
⚡️Reserve TANK
⚡️Fenced & Parking Kubwa Sana 🚗
⚡️Good Environment 👍
📌 Hii Ipo Wazi Kwa Kuhamia
KODI 350,000 × 6
Malipo Ya Dalali 350,000/=
Service Charge 15,000/=
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp