2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







400,000x10
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba viwili Vyote master
Sebule kubwa sana
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon. Full makabati
Bei:400,000 Kwa mwezi × 10
Umbali dakika 15 Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking IPO
Wapangaji wawili tu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167