2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 250,000X6
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
Vyumba 2 vya kulala VIKUBWASANA kimoja wapo master SHOO SHANDANI SHAWAGENI jikoni makabati na public toilet YANJE YAWAGENI
Kodi 250,000 Kwa mwezi X6
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Umbali KM 2 KUTOKA Lami mpaka nyumbani
USAFILI UPOMUDAWOTE BAJAJI 1000 BODA 1000UKISHUKA DAKIKA 2TUU UMEFIKA
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 NAUKIPENDA NYUMBA KODI YAMWEZI 1 KWA DADA
IPO WAZI WAHI
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37