2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x6
——
NEW APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DK 7
KWA MGUU
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LENYE NAFASI
NA CHOO NI PABLIC HAKUNA MASTER
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
YA CHINI NDIO IPO WAZI
=====
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524