2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI (500,000X6) MPYAA  APARTMENT CLASSIC  FOR RENT 
 #Location kimara Mwisho  umbali dk 4  kwa mguu,
muundo
#Viumba vyumba viwili vya kulala vikubwa, kimoja master bedroom,
#sebule jiko la kisasa, puplic toilet,
 #Luku na mita ya  maji inajitegemea,
#Fence get,
#Parking space
#Peveng block 
#garden
#cctv camera
#electronic fence, & WI-FI
Kimbizana na ๐ zimebaki chache..
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363



















