2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(350,000X6)KIMARA SUKA 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD.. UKIAMUA KUTEMBEA DK 15...NYUMBA HII UKIJA NA MPAMBE TUU INALIPIWA MBELE YAKO .BEBA HELA NJOO LIPA NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/01/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HEATER ZA MAJI MOTO
#PAVING
#PARKING
BEI NI 350,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453
➖➖➖➖➖➖➖➖
WAPAMBE PUNGUZENI USHAURI