2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAKUA WAZI TAR 25/09/2025 KUJA KUIONA MPKA NDAN NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA
#LOCATION: KIMARA MWISHO
KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJ 700 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN BRBR SAFI
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
KODI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR NA TULIVU
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0713661530_0783661530