2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 ร 6) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= ร 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 16/07/2025 KUIONA NDANI RUKSA KABISA
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
BEI NI 300,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300