2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(400,00X12) AU (450,000X6) KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VIWILI VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA ULINZI WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12 AU 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMALIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















