2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAKUWA WAZI LEO JIONI
KIMARA SUKA KODI TSH 300,000X6
👉MAHALI KIMARA SUKA UMBALI DK 15 KWA MGUU BODA BODA NI 1000
SIFA ZAKE 👈
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE 👉JIKO ZURI LENYE 🚟 MAKABATI👈
👉PUBLIC TOILET
‼️HAINA MASTAR
NDANI YA FENSI PARKING IPO
ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI
KILA APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI MASAA YOTE
‼️NB MPANGAJI AKILIPA RANGI INARUDIWA UPYAA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1
SIMU
0712656027