2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/05/2025 INATAKIWA MTEJA WA KUINGIA TAREHE 01/06/2025
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HEATER
#AIR-CONDITION
#PARKING
#GARDEN
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA YA JUU GOROFANI NDIO INAPANGISHWA
#INAPANGISHWA YA JUU GOROFANI
BEI NI 350,000/= X 6
APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258