2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#KIMARA_SUKA
Apartment house for Rent za Kisasa Mpyaa Kali Zipo 4 Na Bei zipo tofauti
Location Kimara Suka Dk 10 From road Kwa mguu
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 15000 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
==============
Room 2 zote ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Pavin Blocks
Garden Nzuri sana
Hita Maji Moto na Baridi
Good environment
PIGA SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI