2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 8 TOKA MAIN ROAD
BEI NI 250,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
APARTMENT HII HAINA JIKO
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE
ITAKUWA WAZI LEO HII
KUONA NA MALIPO NI RUKSA
#0785889413🔥🔥



















