2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA KIMARA SUKA #400K
==== itakuwa waz tareh 20 05 2025
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na Choo cha public
===
Bei:400,000 Kwa mwezi × 6
==== pesa ya kulinda nyumba 200000
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
===
Apartment ya juu ndoitakuwa wazi, inajitegemea umeme na maji parking na fence ya uhakika
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===== piga cm #0655256419