2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







IMESHUKA BEI MPKA 280K ?MIEZI SITA AU 300K MIEZI MINNE
APARTMENT ZINAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
VYUMBA VIWILI VYA KULALA_KIMOJA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO_CHOO_CHA_FAMILIA
💧Location ::KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMETA 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
💧Bei :: 280,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 6
AU KODI NI 300,000/=×4
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili vya kulala
📍Kimoja Master
📍Sebule
📍Jiko lina makabati
📍Choo cha familia
📍Umeme Luku yako
📍Fenced kabisa
📍Maji mita yako pia
Nyumba ipo wazi tayari ndugu mteja
Wasiliana nasi KwaMaelezo zaidi kupitia;
NAMALIZA 0659336751 wsp 0786085637