2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🚨🔥#APARTMENT ZIPO 3 INAPANGISHWA
âž–âž–âž–âž–âž–
đź“ŤKimara korogwe
đź•‘Umbali kutoka standi ya mwendo kasi km 1.8 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 3 upo ndani boda boda 1000 Tu mpaka getini
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili vya kulala kimoja master
🌲Sebule
🌲Jiko
🌲Public Toilet Ya ndani
🌲Umeme Luku Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Fensi & Parking ipo Kubwa
👉 Mazingira mazuri sana Usalama wa kutosha hakuna uswahili hapa
đź”·Kodi Tsh 300, 000/= miezi 6
đź”·Malipo ya Dalali Tsh 300, 000/=
đź”·Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
O627977383